Sheria ya kipekee kutekelezwa kwa wanajeshi maalum wa Uingereza
Huwezi kusikiliza tena

Jeshi linalotoa ulinzi kwa familia ya kifahari kuanza kufuga ndevu

Jeshi maalum la kifahari linalohusika na safari za anga wataruhisiwa kukuza ndevu zao chini ya sheria mpya inayolenga kuwatofautisha na wanajeshi wengine. Sheria hiyo mpya itaanza kutekelezwa rasmi tarehe 1 mwezi wa Septemba lakini ndevu hizo zinastahili kunyolewa kwa ustadi na kuwa safi wakati wote.

Je,ni haki kwa kitengo kimoja kupewa fursa hiyo?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com

Mada zinazohusiana