Karafa inayotolewa na bikira pekee Nigeria
Huwezi kusikiliza tena

Sherehe ya utoaji karafa kwa miungu Nigeria

Nigeria inasherehekea siku ya kutoa kafara kwa miungu ya uzazi ambayo kafara hiyo hutolewa na msichana ambaye ni bikira kwa jina Arugba. Msichana huyo anatarajiwa kuwasilisha kafara za kila mtu kwenye mto. Sherehe hii imekuwa ikisherehekewa miaka 600 iliyopita.

Mada zinazohusiana