Watafiti kuitambua lugha ya umbu
Huwezi kusikiliza tena

Watafiti kuitambua lugha ya mbu ili kukabiliana na ugonjwa wa malaria

Watafiti wanajaribu kujua na kutambua lugha ya mbu, ili waweze kuwadanganya na kuwaelekeza kwenye sehemu watakapowanasa na kuwauwa- hivyo kupunguza ueneaji wa ugonjwa wa Malaria.

Mada zinazohusiana