Mwanamuziki wa sauti ya soprano Jessye Norman amefariki
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamuziki nchini Marekani Jessye Norman amefariki akiwa na miaka 74

Mwanamuziki wa nyimbo aina ya Opera nchini Marekani- Jessye Norman amefariki akiwa na miaka 74 aliyesifika sana kwa kuimba kwa sauti ya soprano.Ni mmoja wa watu wachache walio na asili ya Kiafrika kupata mafanikio katika fani hii ya Opera.

Mada zinazohusiana