Je, chimbuko la binadamu wote ni Bostwana?

Je, chimbuko la binadamu wote ni Bostwana?

Wanasayansi wamesema makao ya binadamu wote walio hai yako kusini mwa mto Zambezi huko Bostwana. Eneo hilo kwa sasa limejaa chumvi. Inasemekana mababu zetu waliishi huko kwa miaka elfu 70 hadi pale hali ya anga ilipobadilika.

Je, unaamini kuwa mababu zetu walitoka Botswana?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com