Je, wanaume ni wacheshi kuliko wanawake?
Huwezi kusikiliza tena

Utafiti umebaini wanaume ni wacheshi kuliko wanawake

Utafiti umebaini kwamba wanaume ni wacheshi kuliko wanawake. Watafiti hao walibaini hilo baada ya kuwaambia watu tofauti kuchora vibonzo na kuandika maneno ya ucheshi juu ya vibonzo hizo.

Je , wakubaliana na watafiti hao kwamba wanaume ni wacheshi kuliko wanawake?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com