Greta Thunberg akataa tuzo ya uwanamazingira kwa nini?

Greta Thunberg akataa tuzo ya uwanamazingira kwa nini?

Msichana aliyepata umaarufu mkubwa wakati wa mkutano wa hali ya anga Greta Thunberg amekataa zawadi ya mwanamazingira na pesa kwa madai kwamba harakati za mabadiliko ya hali ya anga hayastahili zawadi kwa wakati huu.

Je, mwanazingira Thunberg kukataa tuzo hiyo ni sawa?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com