Mapenzi yamtumbukia nyongo mkurungezi mkuu wa McDonald's
Huwezi kusikiliza tena

Mapenzi yamtumbukia nyongo mkurungezi mkuu wa McDonald's

Kampuni maarufu ya McDonald's imemfuta kazi Mkurugenzi Mkuu Mtendaji Steve Easterbrook, baada ya kubainika alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo. McDonald's ambayo ni kampuni ya Marekani inayojulikana zaidi kwa baga na vibanzi imesema mahusiano hayo yaliridhiwa na wawili hao lakini Bw. Easterbrook alikikuka kanuni za kampuni hiyo. Sema nzi kufia kidondani!

Je, ni makosa kuwa na mahusiano ya kimapenzi kazini?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili

Mada zinazohusiana