Je, huyu ni mbwa au mbwa mwitu ?
Huwezi kusikiliza tena

Watafiti wanataka kubaini iwapo mnyama huyo ni mbwa au mbwa mwitu

Watafiti wanajaribu kubaini iwapo mbwa aliye na umri wa miaka elfu 18 aliyepatikana huko Siberia ni mbwa au mbwa mwitu. Meno ya mbwa huyo aliyefariki miezi miwili baada ya kuzaliwa yalihifadhiwa kwenye jokovu katika eneo moja la nchini Urusi. Uchunguzi wa vina saba umeshindwa kubaini mnyama huyo ni nani hasa.

Je, wewe unadhani ni mnyama gani huyu?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.

Mada zinazohusiana