Paka maarufu zaidi mitandaoni afariki
Huwezi kusikiliza tena

Paka maarufu zaidi mitandaoni kwa jina Lil Bub afariki

Paka aliye na umaarufu zaidi mitandaoni kwa jina Lil Bub amefariki akiwa na miaka nane, mmiliki wa paka huyo Mike Bridavsky, ametangaza. Lil Bub anajulikana kwa macho yake yanayong'aa na ulimi uliojitoa nje.

Mada zinazohusiana