Dubu aliye na maandishi awashangaza wanasayansi
Huwezi kusikiliza tena

Dubu aliye na maandishi awashangaza wanasayansi Urusi

Picha ya dubu aliyokuwa imesambazwa kwenye mitandao ya kijamii huko Urusi iliyomuonyesha mnyama huyo akiwa na maandishi yalioandikwa kwa wino mweusi umewashangaza wataalam.Wataalamu hao wanadai maandishi hayo yatamuathiri mnyama huyo kuchanganyika na mazingira.

Mada zinazohusiana