Waziri Mkuu wa Australia ameomba msamaha kwa kwenda likizo

Waziri Mkuu wa Australia ameomba msamaha kwa kwenda likizo

Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison ameomba msamaha kwa kwenda likizo huko Hawaii wiki hii wakati mzozo wa moto wa kichaka nchini mwake ukizidi kuongezeka.

Wazima moto wanapambana kuzima moto zaidi ya mia moja. Je ni haki kwa waziri huyu mkuu kuenda likizo nchi yake ikipitia janga kama hilo?

Tupe maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili.