Watawa nchini Sri Lanka hawatambuliwi na serikali

Sri- Lanka ambapo ni makazi ya watawa wa kibudha wanaofahamika kama 'Bhikkunis' walio na watoto wa chini ya miaka 6 hubaguliwa. Watawa hao hawatambuliki na serikali nchini humo huku wakikatazwa vyeti vya utambulisho jambo ambalo limewazuia kuondoka nchini humo au hata kujiunga na vyuo vikuu.