Mashabiki waadhibu sanamu ya Zlatan kwa kukatwa pua

Mashabiki waadhibu sanamu ya Zlatan kwa kukatwa pua

Waharibifu wamekata pua ya sanamu ya gwiji wa soka Zlatan Ibrahimovic nje ya uwanja wa Malmo nchini Sweden.Ni kitendo cha hivi karibuni cha uharibifu kilichoilenga sanamu hiyo tangu itangazwe kwamba Ibrahimovic alikuwa amewekeza katika klabu pinzani mwezi uliopita.