Wanyama wa mwituni wapokea zawadi za krismasi

Wanyama wa mwituni wapokea zawadi za krismasi

Kwa sikuu hii ya krismasi wanyama pia hawakusazwa nje katika mbuga ya wanyama huko Ufaransa ,Ujerumani , Colombia na Zealand wamepokea zawadi za krismasi.