Barcelona yawa na mapato mengi zaidi Ulaya
Huwezi kusikiliza tena

Barcelona yashinda Manchester United kwa mapato

Klabu ya Barcelona ndiyo iliyopata mapato mengi zaidi kuliko klabu yoyote ile barani ulaya kwa mara ya kwanza msimu huu. Klabu hiyo ya Uhispania imepata mapato ya pauni milioni 741.1. Real Madrid imeorodheshwa ya pili huku Manchester United ikiwa ya tatu.

Mada zinazohusiana