Mipango ya mji wa 'Wakanda' yakamilika
Huwezi kusikiliza tena

Mipango ya Akon ya kujenga mji wa 'Wakanda' imekamilika

Mwanamziki wa pop Akon ameandika kwenye mtandao wa twitter kuwa mipango yake ya kujenga jiji la Wakanda huko Senegal ambapo ndipo alipozaliwa- imekamilika. Nyota huyo wa kibao cha Lonely alitangaza mwaka wa 2018 kuwa atajenga jiji kutumia hela zake Akoin. Unatarajia nini katika mji huo wa 'wakanda'? Wasiliana nasi kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili