Jay Z ashtaki maafisa wa gereza
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamziki wa Rap Jay-Z anawashtaki maafisa wa gereza

Mwanamziki wa Rap Jay-Z amesema anachukua hatua za kisheria dhidi ya maafisa wa gereza kwa niaba ya wafungwa 29 ambao wamesema maisha yao yako hatarini. Nyota huyo anachukua hatua hiyo kwa kile anachokiitaja kuwa kuhatarisha maisha ya wafungwa wa gereza la Mississippi kwa sababu ya wafanyikazi wachache.

Mada zinazohusiana