Awa wa kwanza kuchukua likizo ya Uzazi
Huwezi kusikiliza tena

Waziri wa Japan awa wa kwanza kuchukua likizo ya uzazi

Waziri wa Mazingira wa Japan Shinjiro Koizumi amesema anatumai kuchukua likizo kwa wiki mbili baada ya mtoto wake kuzaliwa na jambo hili limezua gumzo kote nchini humo. Hii ni kwa sababu ni mara ya kwanza mwanamme anachukua likizo kwa sababu ya kupata mtoto. Je, baba mtoto pia anahitaji likizo baada ya mkewe kujifungua mtoto?

Mada zinazohusiana