Madonna avunja tamasha. Kunani?
Huwezi kusikiliza tena

Madonna avunja tamasha ya Lisbon

Habari mbaya kwa mashabiki wa mwanamziki Madonna baada ya nyota huyo kupiga marufuku tamasha iliyokuwa ifanyike huko Lisbon, dakika 45 tu kabla ya tamsha hiyo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, nyota huyo wa kibao cha Papa don’t preach amesema anajutia lakini ni lazima asikilize afya ya mwili wake kwanza.

Mada zinazohusiana