Lugha ya 'mtaani' huathiri masomo?
Huwezi kusikiliza tena

Lugha isiyo sanifu huathiri masomo ya wanafunzi

Je shule zinapaswa kutupilia mbali lugha zisizokuwa rasmi katika masomo yao?

Wanafunzi waache nchini Uingereza wanatumia lugha isiyosanifu katika masomo yao, japo wataalam wa lugha wanasema kuwa kupiga marufuku lugha hizi za vijana kuna mathara makubwa kuliko faida. Yapi maoni yako kuhusu swala hili? wsiliana nsai kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili.

Mada zinazohusiana