Meghan na Harry watishia wanahabari
Huwezi kusikiliza tena

Meghana na Harry watishia wanahabari kuwapiga picha

Mtawala wa Sussex Harry na mkewe Meghan wamesema kuwa watachukua hatua za kisheria baada ya wanahabari kumpiga Meghan picha bila idhini akiwa amembeba mwanawe huku wakimtembeza mbwa wao. Wanahabari hao walijificha kwenye kichaka kilicho karibu na kupiga picha hizo. Nini maoni yako kuhusu tabia ya wapiga picha hawa? Wasiliana nasi kwenye ukurasa wa Facebook,BBCSwahili