Nini huchangia nywele nyeupe?
Huwezi kusikiliza tena

Ni nini kinachochangia kuwa na nywele nyeupe?

Wanasayansi wanasema kuwa huenda wametambua kwanini msongo wa mawazo na dhiki husababisha nywele kugeuka rangi na kuwa nyeupe na njia mwafaka yakuweza kusimamisha hilo bila kutumia rangi. Jaribio hili limefanywa kwa panya..