Je, ni hatarikuwa shabiki wa soka?
Huwezi kusikiliza tena

Je, kuna athari zozote za kuwa shabiki nguli wa soka?

Utafiti mpya umesema kuwa wafuasi sugu wa timu za soka huwa wanapitia kiasi kikubwa cha msongo wa mawazo na mwili wakati wanatizama timu zao zikisakata soka. Utafiti huu pia unaonya kuwa hali hii huathiri mashabiki na wakati mwengine husababisha mshtuko wa moyo.

Mada zinazohusiana