Je, ni hatia mwanamke kumiliki mbwa?
Huwezi kusikiliza tena

Je, ni hatia kwa mwanamke kumiliki mbwa?

Sahba Barakzai, familia yake na mbwa wao wa miezi saba kwa jina Aseman, hutembea kukwea milima karibu na nyumba yao huko Magharibi mwa Afghanastan. Lakini ijumaa iliyopita kundi la waume liliwavamia na kumuua mbwa wao kwa kumpiga risasi kisha wakamwabia Sahba kuwa mwanamke hafai kumiliki mbwa. Je, ni hati akwa mwanamke kumiliki mbwa? sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCNewsSwahili.

Mada zinazohusiana