Je, Burna Boy ndiye mwanmziki bora zaidi
Huwezi kusikiliza tena

Je, Mwanamuziki Burna Boy, ndiye bora zaidi Afrika?

Mwanamuziki Burna Boy amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hasa nchini Nigeria baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye ndiye mwanamuziki bora zaidi kuwahi kuwa baada ya Fela Kuti- mwanamuziki aliyefariki mwaka wa 1997.

Je, unakubali kuwa Burna Boy ndiye nyota wa Afrika kwa muziki?

Mada zinazohusiana