Utafiti: Wezi na wanyanyasaji huwa na ubongo mdogo

Utafiti: Wezi na wanyanyasaji huwa na ubongo mdogo

Watu ambao huiba, kunyanyasa wengine na kusema uwongo katika maisha yao yote wanaweza kuwa na ubongo mdogo, watafiti nchini Uingereza wanasema.

Hata hivyo, bado haijabainika iwapo tabia hii huchangiwa na matumizi ya madawa ya kulevya au ilirithiwa kutoka kwa wazazi.

Je, unaamini kuwa kipimo cha ubongo kinahusiana na tabiaza mtu? Sema nasi…..