Aondolewa marukufu ya kuendesha kwa sababu ya kazi anayofanya

Aondolewa marukufu ya kuendesha kwa sababu ya kazi anayofanya

Dereva mmoja aliyekuwa anaendesha gari kwa kasi amesamehewa makosa hayo baada ya kugundulika kuwa alikuwa akitengezea wagonjwa wa saratani nywele bandia za kubandika. Phillip Mungeam, kutoka, Monmouthshire, alikubali makosa yake… Je, ni sawa kwa korti kumsamehe bwana Mungeam? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa facebook..bbcswahili