Hakim Ziyech kujiunga na klabu ya Chelsea

Hakim Ziyech kujiunga na klabu ya Chelsea

Chelsea imekubaliana na klabu ya Ajax kumnyakua Hakim Ziyech raia wa Morocco kwa euro milioni 40 msimu wa joto. Klabu hizo mbili zimekubaliana kuwa Ziyech atasalia Ajax msimu huu wote.