Albamu ya Justin Bieber ya 'Changes' yavunja rekodi kuwa namba moja

Albamu ya Justin Bieber ya 'Changes' yavunja rekodi kuwa namba moja

Albamu ya saba ya Justin Bieber ya Changes imeibuka nambari moja kwenye chati ya Billboard na kupiku rekodi iliyowekwa na Elvis Preseley miaka 59 iliyopita. Mwanmziki huyo kutoka Canada sasa ndiye mwanamziki mchanga Zaidi kuwahi kuwa na albamu saba zikiwa nambari moja akiwa chini ya miaka 25.