Beyonce atoa rambirambi kwa Kobe Bryant na mwanawe Gigi

Beyonce atoa rambirambi kwa Kobe Bryant na mwanawe Gigi

Mwanamziki Beyonce ama anavyofahamika na mashabiki wake sugu Queen Bey ametoa risala zake za rambirambi kwa Mchezaji wa mpira wa vikapu Kobe Bryant na mwanawe Gigi kwa kuimba wimbo wake wa Halo. Hayo yakijiri Mjane wa Kobe Vannessa amemshtaki mmiliki wa heilikopta iliyoanguka na kumuua mumewe na bintiye mwezi uliopita.