Sungura huenda akapata shahada kwa kuhudhuria masomo

Sungura huenda akapata shahada kwa kuhudhuria masomo

Mwanafunzi anayeandamana na sungura wake katika masoma yake ya chuo kikuu anasema sungura huyo anafaa kupata shahada yake mwenyewe. Megan Williams, mwanafunzi wa kemia katika Chuo Kikuu cha Lincoln, Uingereza sungura huyo kwa jina Frankie anamsaidia kuzingatia masomoni, inagawa wakati mwingi huwa amelala. Je,unaweza kubeba mnyama unayempenda darasani?