Ugonjwa hatari utakaomaliza mmea wa ndizi.

Ugonjwa hatari utakaomaliza mmea wa ndizi.

Wanasayansi kote duniani wanashughulikia mbinu za kuzuia ndizi kupotea dunianai kufwatia ugonjwa wa Panama. Ugonjwa huu ambao umeathiri mashamba unafikia mmea wa ndizi kupitia kwa mchanga. Je nini maoni yako kuhusu uwezekano wa ndizi kupotea kabisa duniani? sema nasi kwenye ukurasa wa Facebook, BBCNewsSwahili.