Bekele apata ushindi katika mbio za Vitality Big Half

Bekele apata ushindi katika mbio za Vitality Big Half

Kenenisa Bekele amefanikiwa kuvunja rekodi ya Mo Farah katika mbio za Vitality Big Half mjini London kwa kutumia saa moja na sekunde 22. Bekele ambaye aling'ara vilivyo ameweza kupanda katika chati za wanaume wanaofanya vizuri katika mchezo huo duniani.