Afrika Kusini : Je, bendi ya Ladysmith Black Mambazo inasambaratika?

Afrika Kusini : Je, bendi ya Ladysmith Black Mambazo inasambaratika?

Gazeti moja la Afrika Kusini linaripoti kuwa watoto wawili wa kiume wa mwanzilishi wa kundi la Afrika Kusini la Ladysmith Black Mambazo, marehemu Shabalala ,sasa wanazozana kuhusu nani atakayekuwa kiongozi wa kundi hilo. Gazeti la The Daily Sun linaripoti kuwa swala la hatimiliki pia linachangia mzozo huo.