Michezo ya Olimpiki yahairishwa rasmi

Ni wazi sasa kuwa michezo ya mwaka huu ya Olimpiki imehairishwa kulingana na mwanachama wa kamati ya kimataifa ya Olimpiki Dick Pound.

Mataifa kama vile Canada na Australia yameshajiondoa kutoka kwa mashindano hayo…