Virusi vya Corona: Maharusi wafunga ndoa mtandaoni kuepuka maambukizi

Virusi vya Corona: Maharusi wafunga ndoa mtandaoni kuepuka maambukizi

Zoe Davies na Tom Jackson ni baadhi ya wanandoa ambao harusi zao hazikufanyika kufuatia janga la corona.

Tazama video kwenye tovuti ya bbc jinsi marafiki zao walivyohudhuria harusi hiyo moja kwa moja kwenye mtandao baada ya nduguye bwana harusi kuandaa ndoa hbiyo.