Virusi vya corona: Waandisi wanaorekebisha mashine za kusaidia kupumua bila malipo

Virusi vya corona: Waandisi wanaorekebisha mashine za kusaidia kupumua bila malipo

Wahandisi wawili kutoka Nigeria wamekuwa wakitengeneza vifaa vya kusaidia kupumua vilivyoharibika bila malipo yoyote kwa hospitali moja Kaskazini mwa nchi hiyo.

William Gyang na Nura Jubril, wamegundua mashine 40 ambazo zimeharikiba ,na mpaka sasa wamefanikiwa kutengeza mashine 2 huku wakiendelea kukarabati zengine.