Hukumu ya kifo kupitia programu ya zoom Nigeria yashutumiwa

Hukumu ya kifo kupitia programu ya zoom Nigeria yashutumiwa

Shirika la kutetea haki za kibinadam limesema hukumu ya kifo iliotolewa kwa dereva mmoja raia wa Nigeria kupitia programu ya zoom ni unyama na ukatili wa hali ya juu. Hatua hii inajiri baada ya Nigeria kutoa hukumu hiyo kupitia video ya moja kwa moja kwa sababu ya janga la corona. Je unaona ni sawa shughuli za mahakama kundeshwa kupitia programu hizi ?