Je, unanawa mikono yako mara ngapi kwa siku?

Je, unanawa mikono yako mara ngapi kwa siku?

Kuosha mikono yako angalau marasita au kumi kwa siku kunaweza kukuepusha kupata maambukizi mengi ikiwemo corona. Hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na watafiti wa Uingereza walioelezea kuwa virusi vya corona vinamalizwa na maji na sabuni.. Je unaosha mikono yako mara ngapi kwa siku? Sema nasi kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili.