Bingwa wa Tenisi Federer kufanyiwa upasuaji kwenye goti lake N

Bingwa wa Tenisi Federer kufanyiwa upasuaji kwenye goti lake N

Roger Federer atakosa msimu wote wa 2020 baada ya kufanyiwa operesheni zaidi juu ya goti lake la kulia. Mshindi huyo wa Grand Slam mara 20 alifanyiwa upasuaji wa kwanza mwezi wa Februari. Tenisi ya mashindano imesimamishwa tangu Machi kwa sababu ya janga la coronavirus.