Corona: India kutumia mabehewa 500 ya treni kama vyumba vya wagonjwa

Corona: India kutumia mabehewa 500 ya treni kama vyumba vya wagonjwa

India kwa sasa imesema itageuza mabehewa ya treni 500 ili kutoa nafasi ya kuweka vitanda elfu 8 vya wagonjwa wa virusi vya corona . Idadi ya maambukizi imeongezeka maradufu nchini humo. Je eneo lako limeweza kudhibiti maambukizi haya? Sema nasi kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili.