Je, Twitter itaokoa programu ya video ya Tik Tok?
Je, Twitter itaokoa programu ya video ya Tik Tok?
Twitter imetaka kufanya mazungumzo na mmiliki wa kampuni ya China ya Tik Tok na ByteDance kuelezea nia ya kununua shughuli zake za Marekani,. TikTok programu ya video imekuwa katikati ya mjadala mkali katika wiki za hivi karibuni baada ya Wiki iliyopita rais Trump kuagiza kampuni za Marekani ziache kufanya biashara na TikTok kabla ya siku 45 juu ya wasiwasi wa usalama.

Sikiliza, Kwanini programu ya video ya Tik Tok inapata upinzani Marekani?, Muda 2,00
Rais Trump amesaini agizo la ikushughulikia kile alichokiita tishio linalosababishwa na programu maarufu, inayomilikiwa na China, ya TikTok.