Mchezaji tenisi atoa heshma kwa waathiriwa wa ubaguz.
Mchezaji tenisi atoa heshma kwa waathiriwa wa ubaguz.
Mchezaji tenisi Naomi Osaka amekuwa akiwapa heshma waathiriwa weusi wa ubaguzi wa rangi kwa kuvalia barakoa zilizo na majina yao katika mashindano ya US Open. Katika shindano lake la hivi karibuni alivalia barakoa ilioandikwa George Floyd,mmarekani mweusi alieuwawa mikonoi mwa polisi.Hata hivyo familia za waathiriwa zimempongeza kwa tukio hilo.
Sikiliza, Keeping Up with the Kardashians: Kipindi maarufu nchini Marekani kukamilika mwaka ujao, Muda 2,02
Kipindi maarufu cha televisheni cha Marekani cha Keeping Up With The Kardashians, kinafikia mwisho mapema mwaka ujao.