Msichana mmoja kutoka Rwanda akutanishwa na jamaa zake

Msichana mmoja kutoka Rwanda akutanishwa na jamaa zake

Grace Umutoni ni msichana aliepoteza wazazi wake wakati wa mauwaji wa kimbari nchini Rwanda miaka ya 1994. Hivi karibuni amefanikiwa kupatana na baadhi ya familia yake kupitia mitandao ya kijamii. Tupe maoni yako BBC swahili.