Mwanamuziki wa Marekani aegemea chama cha democrats

Mwanamuziki wa Marekani aegemea chama cha democrats

Mwanamuziki Taylor Swift atampigia kura Joe Biden katika uchaguzi mkuu nchini Marekani unaotarajiwa kufanyika Novemba 3.

Hapo jana Jumatano, nyota huyo,mwenye miaka 30, alitangaza kuunga mkono chama cha democrats kufuatia ujumbe aliouandika kwenye ukurasa wake wa twitter.Ametamba na kibao blank space.