Wapenzi wa Kihindi wafanya harusi ndani ya maji nchini India

Wapenzi wa Kihindi wafanya harusi ndani ya maji nchini India

Wapenzi huko pwani ya Chennai kusini mwa India waliaamua kufunga ndoa yao ndani ya maji.

Chinnadurai na Swetha waliingia majini wakiwa na mavazi yao ya kitamaduni na kufanya sherehe yao ya kihindi ya ulaji kiapo ndani ya maji.