Wakonta Kapunda, binti anayeandika kwa ulimi

Wakonta Kapunda, binti anayeandika kwa ulimi

Kutana na Wakonta Kapunda, binti mwenye miaka 25 aliyeteka hisia za Watanzania wengi kwa ustadi wake wa kutumia ulimi kuandika ujumbe, kupiga simu na sasa anaandika hata miswaada ya filamu kwa kutumia ulimi wake.