Wataalamu: Unyonyeshaji watoto Tanzania waridhisha

Baadhi ya wanawake nchini Tanzania licha ya kunyonyesha watoto wao pindi wanapozaliwa, lakini wamekiri kutofuata taratibu zinazotakiwa kutokana na kukosa uelewa.

Hali hii imeelezwa na wataalamu kuwa ni miongoni mwa sababu zinazochangia kuwepo kwa idadi kubwa ya vifo vya watoto wanaokosa virutubisho hivyo duniani.

David Nkya na taarifa zaidi.