Wanafunzi wa sayansi Tanzania waonesha ubunifu Dar

Wanafunzi wa sayansi Tanzania waonesha ubunifu Dar

Sasa vipaji vya vijana kufanya mambo mazito barani Afrika zinaleta athari kubwa. Kwa mfano nchini Tanzania, wanafunzi wa kisayansi kutoka maeneo mbalimbali nchini humo wameonyesha ubunifu wao katika onyesho la wanasayansi vijana mjini Dar es Salaam.

Onyesho hilo la mwaka linaenda samabamba na Onyesho la wanasayansi vijana na teknolojia la Ireland linalowapa fursa vijana hao kuonyesha ubunifu wao.

Mwandishi wa BBC Tulanana Bohela amekutana na baadhi yao.